Leo Alhamisi ya October 12, 2017 Jeshi la Polisi Arusha limefanikiwa kumkamata na kumdhibiti mtu mmoja anayefahamika kwa jina la John Oloto ambaye anatuhumiwa kwa wizi wa laptop nne, mabegi ya akina mama na simu zaidi ya tano katika Ofisi za Jiji la Arusha.
Polisi Arusha wanamshikilia John Oloto ambaye anatuhumiwa wizi wa laptop nne, mabegi ya akina mama na simu zaidi ya tano #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/fyVqCZN2Fl
— AyoTV (@ayotv_) October 12, 2017
Wakili aliyejitokeza kumuunga RAIS JPM uteuzi Katibu wa Bunge