Habari za Mastaa

Wale wa Chris Brown hii ni video yake mpya akiwa na Lil Wayne na Tyga.

on

Screen Shot 2014-03-24 at 11.16.26 PMLicha ya Chris Brown kuwa jela akitumikia kifungo chake cha mwezi mmoja kazi zake za kimuziki bado zinaendelea ambapo imedondoshwa video yake mpya kutoka kwenye album yake ‘X’ ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu.

Hii single inaitwa ‘Loyal’ ambapo yupo na Lil Wayne na Tyga.

[youtube youtubeurl=”JXRN_LkCa_o” ][/youtube]

Tupia Comments