Top Stories

RC katatua mgogoro wa miaka 15, ishu ikawa mlalamikaji alivyojitambulisha

on

MKUU wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amefanikiwa kuutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 15 katika eneo lenye ukubwa wa ekari 4 Nyakato, Mwanza ambapo awali lilimilikiwa na Bi. Kijiko Shimizi kabla ya kumilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na kuliuza kwa Wananchi wengine waliojenga kwenye hilo eneo.

RC Mongella baada ya kuagiza watendaji kumpatia maeneo mawili Bi. Kijiko akajitambulisha kuwa yeye ni ndugu yake na hakuwahi kumueleza awali licha ya kwenda mara kwa mara ofisini kwake.

Tazama kwa kuplay kwenye hii video hapa chini kushuhudia kila kitu

RC Mwanza alivyotekeleza ahadi yake kwa mlemavu wa miguu

Soma na hizi

Tupia Comments