Mix

Picha 10 Rais Magufuli akisubiri kupewa uenyekiti, Mrema naye ndani

on

July 23 2016 wajumbe na wanachama wa chama cha mapinduzi CCM wameungana pamoja na baadhi ya wanachama wa vyama vingine vya upinzani kushuhudia tukio la kumpitisha Rais John Pombe Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM kuchukua nafasi ya mstaafu Dk. Jakaya Kikwete.

Moja ya wanachama wa upinzania mbaye kaonyesha ushiriki wake ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa Vunjo Augustine Mrema ambaye pia amekuwa kivutio cha wengi. Hapa nimekusogezea picha 8 za kwanza wakati kazi ikiendela.

makooo

Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda na mkuu wa wilaya ya Kinodndoni Ally Hapi

1

Rais mstaafu awamu ya tatu Benjamin Mkapa

2

Mwenyekiti wa UDP John Cheyo

4

.

5

.

6

.

7

Mbunge wa zamani wa jimbo la Vunjo Augustine Mrema

8

.

2222

Kutokea kushoto ni Rais John Magufuli, Rais wa ZNZ Ally Shein na Rais mstaafu Jakaya Kikwete

wwwww

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda

ULIIKOSA HII  YA JK AFUNGUKA SAKATA LA LOWASSA CCM, WENYE VYETI FEKI WAZUA TAHARUKI 

Soma na hizi

Tupia Comments