Top Stories

Mtoto aoza mkono, Baba asubiri mashemeji waamue ndio ukatwe, Madaktari walalamika (+video)

on

John Richarch ni mkazi wa Wilayani Pangani Mkoani Tanga ambaye amekataa kufanyika kwa upasuaji wa Mtoto wake mwenye umri wa miaka 15, ambaye amevunjika mkono na kucheleweshwa kufikishwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga – Bombo.

Kucheleshwa kwake inadaiwa kumetokana na kupelekwa katika tiba mbadala ambapo John anasema maamuzi ya kuwa madaktari waendelee na upasuaji ama laa yatatolewa na Shemeji zake yaani wajomba wa Mtoto ingali nao wamechelewa kufika Hospitalini hapo ili kutoa maamuzi huo.

RAIS MAGUFULI AAGIZA NCHI TATU ZIPEWE MSAADA WA VYAKULA NA DAWA

Soma na hizi

Tupia Comments