Top Stories

CCM kuanza kutumia Helikopta kwenye kampeni zake

on

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeonesha Helikopta ambayo inatarajiwa kutumiwa na Chama hicho kwenye Round nyingine ya muendelezo wa kampeni zake ikiwa ni siku kadhaa tu toka Katibu Mkuu wake Dr. Bashiru Ally kusema yafuatayo hapa chini.

Tutakuwa na mizunguko sita ya kampeni, tumemaliza round ya kwanza sasa tunaingia round ya pili ambayo itakuwa nzito kuliko ya kwanza, tukifika round ya sita tutafahamiana zaidi

MAAJABU: DUKA LISILO NA MLANGO WOWOTE NA HAKUNA ANAETHUBUTU KUDOKOA CHOCHOTE

Soma na hizi

Tupia Comments