Kamati ya Siasa Mkoa wa Tabora imemuagiza Mkuu wa Mkoa Aggrey Mwanri kuendelea kusimamia kasi ya ujenzi wa miradi ya maendeleo ili fedha zinazotolewa na Serikali zitumike kwa ufasaha.
JAMAA KAUA WATU WAWILI KWA KUWACHARANGA NA MAPANGA “WALILEWA WAKAWA WANAMDAI SIMU”