Top Stories

CCM yaipongeza ACT kwa kushinda Uchaguzi Konde (video+)

on

Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka amekutana na Waandishi wa habari leo Dodoma na kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo kukipongeza Chama cha ACT Wazalendo kwa ushindi wa kuchukua jimbo la Konde na kusema hii ndio Demokrasia aliyoiahidi.

MAMA ALIYEUWAWA NA HOUSE BOY FAMILIA YATOA KAULI

Soma na hizi

Tupia Comments