Top Stories

CCM yawachongea Upinzani kwa Msajili na Jafo, yajibu mapigo

on

“Rai yangu kwa Serikali kusimamia Sheria na Kanuni huu mtindo wa watu kuja na kulalamika na kufanya vurugu chondechonde tubaki kwenye Sheria” Polepole

Nina ombi moja kwa Msajili atusaidie hivi wenzetu walikuwa na mchakato wa ndani kutafuta mgombea wa vitongoji kwa sababu Sheria inataka mchakato wa ndani uwepo hivi walikuwa na mchakato wa ndani kupata wagombea” Polepole

“Kama tuna Vyama visivyotekeleza matakwa ya kisheria vinawezaje kupewa uongozi wa nchi ambao misingi yake ni Katiba na Sheria” Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole

ONYO KALI: RC MBEYA “KIJITU, MSILETE UJINGA NA UPUMBAVU, DIWANI AENDE JELA LEO LEO”

Soma na hizi

Tupia Comments