Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kilichojadiliwa kwenye Kikao cha CCM Dodoma, Waziri Mkuu, Urais, Makundi.. Maneno ya Rais JK
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kilichojadiliwa kwenye Kikao cha CCM Dodoma, Waziri Mkuu, Urais, Makundi.. Maneno ya Rais JK
Top Stories

Kilichojadiliwa kwenye Kikao cha CCM Dodoma, Waziri Mkuu, Urais, Makundi.. Maneno ya Rais JK

July 9, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Rais JK

Stori kuhusu Siasa zinapewa nafasi kubwa sana sasa hivi, Tanzania inaingia kwenye Uchaguzi Mkuu Mwezi October 2015… Tayari wapo waliotangaza Kugombea nafasi mbalimbali lakini macho ya wengi yako kwenye nafasi ya Urais, mpaka sasa kuna majina zaidi ya 35 ya watu waliotangaza Kugombea nafasi ya Urais kupitia CCM.

Rais Kikwete yuko Dodoma, imenifikia hii Ripoti ya kilichoendelea jana wakati wa Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili cha CCM.

1. Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili-CCM kimeanza saa 8 mchana huu hapa Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Ndugu @jmkikwete. #CCMInaamua

— CCM Youth League (@vijanaccm) July 8, 2015

2. Kikao kina wajumbe 13, wakiwemo M/kiti wa CCM, Makamu M/kiti na Katibu Mkuu, na kinajadili makada 38 waliochukua fomu za kugombea Urais.

— CCM Youth League (@vijanaccm) July 8, 2015

3. Kikao hiki ni cha juu kabisa katika Chama kinachojadili mwenendo, tabia, uadilifu, rekodi za utendaji na nidhamu ya kila mgombea.

— CCM Youth League (@vijanaccm) July 8, 2015

Taarifa Waziri Mkuu hatakuwa tena kiongozi wa Wabunge wa CCM, badala yake Wabunge watachagua kiongozi wao asiyekuwa na wadhifa wa Uwaziri.

— CCM Youth League (@vijanaccm) July 8, 2015

Hii ni Tweet ya Rais JK aliyoweka muda mfupi uliopita

Siasa za makundi ni siasa za maslahi. Siasa zinazolenga kutatua changamoto za Taifa hazina kundi bali humgusa kila mwenye nia njema na nchi.

— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) July 9, 2015

You Might Also Like

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

Flamengo ya Brazil yamtimua kocha Jorge Sampaoli huku wakimtazamia Tite

Wananchi wadai fidia ya Milioni 500 kwa Naibu Waziri wa Nishati

Millard Ayo July 9, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Majibu ya Wema Sepetu kwa waliosema siasa imeingiliwa baada ya yeye kutangaza nia, pia aliyeigiza sauti yake.
Next Article Nimeipata nyingine mpya ya Nigeria, DJ Exclusive Feat. Davido ‘Wo Le’ (Video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?