Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

Hizi ni picha zingine kutoka Jangwani, Wema, Diamond, Mwana Fa wapo pia mtu wangu

on

Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCM kutoka katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform hadi sasa ni Peter Msechu, Yamoto Band na Diamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake.

Kwa upande wa wasanii wa filamu na baadhi ya wasanii wa muziki wa bongofleva wao walipanda katika stage na kuimba wimbo wa taifa kwa pamoja.

Hizi ni picha zingine kutoka Jangawani

3X6A4082

3X6A4083

3X6A4103

3X6A4132

3X6A4143

3X6A4147

3X6A4148

3X6A4151

3X6A4153

3X6A4155

3X6A4157

3X6A4163

3X6A4165

3X6A4168

3X6A4174

3X6A4175

3X6A4177

3X6A4180

3X6A4183

3X6A4186

3X6A4187

3X6A4191

3X6A4197

3X6A4199

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments