AyoTV

CCM yataja siri zilizofanya Washinde kwenye chaguzi ndogo za juzi

on

Katibu wa itikadi na uenezi CCM Humphrey Polepole ameeleza siri za kushinda katika uchaguzi mdogo wa jimbo la dimani Zanzibar na kata 20 uliofanyika January 20 2017 sehemu mbalimbali Tanzania kwenye ngazi ya Udiwani.

Ameelezea pia sababu ya chama cha wananchi wa CUF kushindwa katika uchaguzi wa ubunge wa jimbo la Dimani Zanzibar kuwa chanzo ni wao wenyewe na wamtafute mchawi ndani yao na sio CCM.

Siku chache zilizopita tulikua na chaguzi ndogo kwenye maeneo mbalimbali Tanzania ikiwemo uchaguzi mmoja mdogo wa Ubunge jimbo la Dimani Zanzibar na chaguzi 20 za udiwani Tanzania, vyama vyote ikiwemo CCM vilifanya kampeni safi na za kistaarabu

Vyama vingine vingependa kufahamu siri ya ushindi wetu, siri ni mambo makubwa kama mbili hivi….. moja ni chama cha mapinduzi kuzaliwa upya, mageuzi makubwa ya CCM ambayo yanalenga kuirejesha CCM kwa Wanachama, Watanzania wamepokea kwa sauti kubwa‘ – Polepole

Kufahamu zaidi kilichosemwa na CCM bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments