AyoTV

VIDEO: Kilichosemwa na CCM kuhusu madai ya baa la njaa Tanzania

on

Wakati mengi yakizungumzwa kuhusiana na madai ya kuwepo kwa baa la njaa nchini na baadhi ya maeneo kuripotiwa kuwa vyakula vimepanda bei kutokana na ukame uliosababishawa na kukosekana kwa mvua.

Leo January 2017 Chama cha Mapinduzi kupitia kwa katibu wake wa itikadi na uenezi wa Humprey Polepole amezungumza na waandishi wa habari kuhusu suala hilo.

‘Baa la njaa sio kitu kidogo, ni jambo kubwa kabisa inapofika nchi imekumbwa nalo, mwenye dhamana ya mwisho kutangaza ni mkuu wa nchi na anapotangaza anatumia dhamana yake kama mkuu wa nchi, Tanzania Mungu ametubariki kwa zaidi ya miaka 25 iliyopita hatujafika kiwango hicho

VIDEO: Kauli ya Waziri wa kilimo kuhusu hali ya chakula na ukame nchini, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments