Ad

Top Stories

Zamu ya jukwaa la kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM.. (+Pichaz)

on

Wiki moja iliyopita Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema alizindua kampeni zake katikati ya mji wa Arusha.

V

Ni zamu ya kukusogezea pichaz kutoka Jukwaa la uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo hilohilo kupitia CCM, Philemon Mollel alivyozindua kampeni zake katika Viwanja vya Shule ya sekondari Ngarenaro.

Arusha

Philemon Mollel

index II

index III

Mabango kama kawaida

index IV

index VI

index VII

Uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Arusha Mjini umepangwa kufanyika December 13 2015 baada ya kutokea msiba wa aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia ACT-Wazalendo, Mzee Estomih Mallah.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments