Top Stories

Hiki ndio kinachoendelea sasahivi Makao Makuu ya CCM Dodoma… (Pichaz July 11 2015)

on

DSC_2542

Majina matano ya waliopitishwa kwenye tano bora ya Wagombea CCM tayari imethibitishwa, niko ndani ya Dodoma kuhakikisha kwamba millardayo.com inakupa updates zote zinazoendelea leo July  11 2015 moja kwa moja.

Ninazo picha tayari kutoka Makao Makuu ya CCM katikati ya Jiji la Dodoma, hiki ndio kinachoendelea kwa sasa.

DSC_2535

DSC_2541

DSC_2546

DSC_2549

Naibu Waziri January Makamba. Jina lake lipo pia kwenye wale watano waliopitishwa.

DSC_2558

January Makamba akisalimiana na Waziri Steven Wasira na George Mkuchika.

DSC_2571

DSC_2572

January Makamba akisalimiana na Waziri Lazaro Nyalandu.

DSC_2584

Waziri Nyalandu na Naibu Waziri Mwigulu Nchemba.

DSC_2590

Aliyekuwa Meya wa Ilala Dar es Salaam, Jerry Silaa

DSC_2595

DSC_2600

DSC_2606

DSC_2619

Waziri Bernard Membe, jina lake lipo pia kwenye wale watano waliopitishwa.

DSC_2627

January Makamba kwenye pozi la selfie.

DSC_2640

Mbunge Ridhiwani Kikwete.

DSC_2634

Huyu jamaa alionekana Arusha pia kwenye Mkutano wa Lowassa akiwa amejiandika hivihivi, leo yuko Dodoma pia nje ya Makao Makuu ya CCM.

DSC_2665

Watu wa usalama wako jirani pia.

DSC_2678

Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja.

DSC_2648 DSC_2652 DSC_2675 DSC_2681 DSC_2683 DSC_2684 DSC_2697 DSC_2699 DSC_2700

Ripoti zote toka DODOMA utaendelea kuzipata hapahapa mtu wa nguvu, jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments