Top Stories

Matukio ni mengi nje ya Ukumbi wa CCM Dodoma, cheki na haya mengine… #Pichaz

on

Majibu ya tatu bora kutoka kwenye list ya tano bora ya Wagombea Urais wa CCM tutayajua leoleo JULY 11 2015 kutoka hapahapa Dodoma.

Niko na wewe mtu wangu kwenye kila hatua, kila tukio la hapa ni lazima nilisogeze kwako pia… matukio mengine ya nje ya Ukumbi wa CCM Dodoma ni haya niliyoyanasa kwenye hizi pichaz.

DSC_2874

Camera za Waandishi wa Habari ziko karibu na kila tukio hapa Dodoma.

DSC_2876

DSC_2887

Wengine wanashuhudia kila kitu kwa hapa juu ya ghorofa jirani na Ukumbi wa CCM.

DSC_2894

Ilibidi Polisi waweke kamba kuzuia mtu yoyote kusogea karibu zaidi ya Ukumbi.

DSC_2903

Wa juu ya ukuta nao hawaishi wala hawapungui.

DSC_2906

DSC_2910

Magari ya Maji washawasha nayo yakasogezwa.

DSC_2935

Mwandishi wa Habari wa ITV, yuko na Camera yake kazi inaendelea!!

DSC_2936

Farasi na mbwa nao walikuwepo kwenye mikono ya Vikosi vya Polisi na FFU wakati wote.

DSC_2933

DSC_2938

DSC_2940

DSC_2943

DSC_2945

Waandishi wa Habari.

DSC_3006

Ambulance ziliwekwa karibu pia kwa ajili ya dharura.

DSC_2960

Waliokuwa wakiimba na kucheza hiyo kitu iliendelea kutwa nzima.

DSC_2975

Wapo waliojipaka unga kichwani nywele zinaonekana kama mvi.

DSC_2983

DSC_2997

Bango linawakaribisha Wajumbe Dodoma, hili lipo ndani ya fensi ya Ukumbi wa CCM Makao Makuu hapahapa Dodoma.

DSC_3021

Huyu alikuwa mmoja ya waliojipaka unga kichwani.

DSC_3019 DSC_3032

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments