Top Stories

Breaking News: Mgombea mwenza wa CCM huyu hapa…

on

zuri

Leo safari ya Tanzania kumpata Rais atakayewaongoza Watanzania kwa miaka 10 ijayo imeanza rasmi na CCM kupitia kwa Halmashauri kuu ya CCM imemchagua DK. John Magufuli kuwania nafasi hiyo.

Baada ya ushindi huo, Magufuli alitoa shukrani zake kwa wote waliofanikisha ushindi wake na kisha akamteua aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba lililomalizika hivi karibuni Samia Salumu Suluhu kuwa mgombea mwenza.

suhulu

Samia Salum Suluhu

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments