Top Stories

Video za Edward Lowassa, William Ngeleja, Bernard Membe, January Makamba baada ya mchujo wa majina matano..

on

photo-collage (1)Bado watu wanasubiri kusikia jina la mgombea urais ambaye atatajwa na CCM, kikao kimeendelea na bado jina halijatajwa ambapo nimefanikiwa kupata video za hawa wanne mbele ya camera na vinasa sauti vya waandishi wa Habari, Edward Lowassa na William Ngeleja… pia yupo Bernard Membe na January Makamba.

Haya wameyasema leo baada ya majina matano yaliyopitishwa na Kamati Kuu ya CCM kuwa yameshatajwa.

January Makamba Dodoma July 11 2015 akizungumzia jina lake kuwa kwenye 5 bora ya Urais CCM. Video ya @AyoTV_

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

Niko Dodoma mtu wangu, kila kinachoendelea hapa ninakusogezea wakati huohuo.

Tupia Comments