Top Stories

CCTV Camera ilivyoinasa ajali ya Mwendokasi na Bodaboda, “Wawili wafariki papo hapo” DSM

on

NI Septemba 8, 2021 ilitokea Ajali ya Mwendokasi na Bodaboad katika makutano ya barabara maeneo ya Lumumba Dar es Salaam kupelekea watu wawili kufariki dunia katika tukio hilo la ajali.
Sasa leo Ayo TV imekusogezea hii CCTV imeinasa tukio la Ajali hiyo iliyosababisha vifo vya watu wawili.

WALIOFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA MWENDOKASI WATAJWA, KAMANDA ATOA ONYO “ANA MIAKA 17, MAGARI YOTE”

Soma na hizi

Tupia Comments