Mahakama kuu Dar es salaam imetoa zuio la muda kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutokamatwa na Polisi au kuwekwa kizuizini mpaka mpaka maombi yake yataposikilizwa Ijumaa ya Feb 24 2017….. zaidi tazama hii video fupi hapa chini
.
Mahakama kuu DSM imetoa zuio la muda Freeman Mbowe asikamatwe na Polisi mpaka maombi yake yataposikilizwa Feb 23 – Tundu Lissu #AyoTVupdates pic.twitter.com/JppyGm40Dq
— millard ayo (@millardayo) February 21, 2017
VIDEO: “Unapotangaza Mtu aje Polisi saa 5 wewe ni nani?” – MBOWE… full video tazama hapa chini
VIDEO: Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya, atoa agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje ya Tanzania kwa dawa za kulevya, FULL VIDEO bonyeza play hapa chini