BreakingNews

BREAKING: Baada ya Freeman Mbowe kutoka Mahakama kuu DSM leo

on

Mahakama kuu Dar es salaam imetoa zuio la muda kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kutokamatwa na Polisi au kuwekwa kizuizini mpaka mpaka maombi yake yataposikilizwa Ijumaa ya Feb 24 2017….. zaidi tazama hii video fupi hapa chini

.


VIDEO: “Unapotangaza Mtu aje Polisi saa 5 wewe ni nani?” – MBOWE… full video tazama hapa chini

VIDEO: Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya, atoa agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje ya Tanzania kwa dawa za kulevya, FULL VIDEO bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments