AyoTV

VIDEO: Kauli ya CHADEMA baada ya Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

on

Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetoa kauli yake baada ya Mwigizaji Wema Sepetu na mama yake mzazi kutangaza rasmi leo kukihama Chama cha Mapinduzi CCM na kuhamia CHADEMA…. tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

FULL VIDEO: Wema Sepetu alivyotangaza kuhamia CHADEMA, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments