Top Stories

LIVE: CHADEMA yaendelea kulaani tukio la Mdude Nyagali, yasimulia tukio zima (+video)

on

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeendelea kulaani tukio la Kijana ambae ni Mwanachama wa Chama hicho Mdude Nyagali kuchukuliwa na Watu waliokua wameficha nyuso zao, kutoka Dar es salaam leo hii Chama hicho kimesema pia kuna kijana mwingine alikamatwa na Watu hao lakini akafanikiwa kuwatoroka na sasa anabaki kuwa Shahidi, bonyeza play hapa chini kumtazama

NDANI YA SAA 24 AGIZO LA JPM LATEKELEZWA NA PROF. NDALICHAKO

Soma na hizi

Tupia Comments