fB insta twitter

Maneno ya Diamond baada ya kupost picha ya Chriss Brown

on

Mkali wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ambaye hivi karibuni aliachia wimbo wake wa ‘Acha nikae kimya’ ambao umepokelewa kwa namna tofauti na kuzua mijadala kwenye mitandao ya kijamii.

Leo April 11 2017 kupitia ukurasa wake wa Instagram staa Diamond ameamua kupost picha ya msanii wa R&B kutokea Marekani Chriss Brown na kuandika maneno haya…>>>Nifunge bakuli langu….nikojoe nikalale, Mie bado Mudogo sana” – Diamond.

VIDEO: ‘Diamond Ameniomba msamaha, Nimemsamehe’-Gwajima

VIDEO: ‘Halima Mdee nenda kaombe msamaha Bungeni’ Gwajima

Soma na hizi

Tupia Comments