fB insta twitter

Vijue baadhi ya vitu ambavyo mastaa wangependa kuwa navyo, ndani yupo Wizkid na wengine!

on

Naamini kuna watu wangu ambao wanatamani wapate walau dakika tano kuchill na mastaa kadhaa wanaowakubali, kuwauliza maswali tofauti kuanzia maisha, biashara, muziki ama sanaa yoyote ile wanayoifanya… lakini umeshawahi kukaa na kujiuliza wasanii au mastaa wanakaa na kutamani vitu gani?

Nimetembelea mtandao wa Twitter na huko nimekutana na #hashtag inayoweka headlines kwenye matumizi yake kwa siku kadhaa sasa, yenyewe inaitwa #ThingsILongThroatFor ambayo mastaa wengi wakubwa wa Africa wamekuwa wakiitumia kuvitaja vitu ambavyo wangetamani kuwa navyo!

WizAyo

Wizkid.

Kwenye mchezo huu wapo wengi walioshiriki, baadhi yao wakiwa Wizkid, Tiwa Savage, Seyi Shay na wengine… Je, unajua Wizkid anatamani kuwa na nini ama kuwa nani siku moja? Tiwa Savage je? Zote zimejibiwa kwenye hizi tweets chache nilizofanikiwa kuzinasa kupitia account zao za Twitter.

Tiwas

Tiwa Savage.

karibu uzipitie moja baada ya nyingine kisha uniambie hapa chini kwenye comment, ni vitu gani unatamani uje kuwa navyo ama ni mtu gani ambaye ungependa kuspend nae time hata kama ni kwa siku moja.

TWITTER

TWITTER2

Twitter3

Twitter4

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments