“Kesi ya Morrison bado ipo, Wanasheria wetu wanatusaidia na mimi ni miongoni mwa watu ambao wanaisimamia kesi hiyo, lakini ninachokiona kutoka kwa Yanga ni kama mtu aliyeachwa na mpenzi wake lakini bado anamlazimisha warudiane” -Barbara Gonzalez
“Nimesimama imara najiamini kwenye uwezo wangu na kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand inaonekana cheap, sisumbuliwi hata kidogo! Najua uweledi wangu, najua uwezo wangu na hauwezi kunifananisha na mtu ambaye sio saizi yangu” -Barbara Gonzalez