Michezo

CEO wa Simba SC akutana na Rais wa Zamalek

on

CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez akiambatana na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Mulamu Mghambi ameendelea na ziara yake ya kikazi nchini Misri katika club ya Zamalek na kukutana na Rais wa club hiyo Mortada Mansour.

Soma na hizi

Tupia Comments