Mtu wangu wa nguvu Ayo TV na millardayo.com zimekukusanyia na kukuletea UPDATE ya mchanganyiko wa habari mbalimbali za ndani na nje ya Tanzania ambazo zimepewa uzito zikihusu Siasa, Uchumi, Jamii na Utamaduni.
Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya TFF imeridhia Yusuph Kitumbo kuendelea na kifungo cha maisha kutojihusisha na soka kwa kosa la kupanga matokeo huku Kamati hiyo ikimfutia adhabu ya kifungo cha miaka Saba Wakili Damas Ndumbaro.
Yusuf Manji ambaye anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ameshindwa kufika Mahakamani leo kutokana na kupelekwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ‘JKCI’ baada ya kutokuwa na hali nzuri kiafya lakini wenzie wamefikishwa Kisutu.
Mtanzania anaeshika namba 3 Marekani ktk kampuni za usafirishaji!!
https://youtu.be/7F4pEeqN-Yw