Top Stories

CAG akaguliwa, Spika asema anazo taarifa zake (+video)

on

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameeleza amepokea taarifa ya kufanyiwa ukaguzi kwa ofisi ya CAG Profesa Assad, ambao umefanya na kampuni binafsi na yeye kuikabidhi kwenye kamati ya PAC na kueleza baada ya uchambuzi ataisoma taarifa hiyo bungeni.

Spika Ndugai amesema kuwa, ningependa kuwajulisha juu ya taarifa ya  ukaguzi wa ofisi ya CAG kwa mwaka fedha unaoshia Juni, 2018, hesabu za CAG zinapaswa kukaguliwa walau mara moja kwa mwaka, na Kamati ya PAC ndiyo inajukumu la kukagua ofisi hiyo, kazi imeshafanyika na imetuletea taarifa ya hesabu zilizokaguliwa za ofisi hiyo.”

BREAKING: SPIKA NDUGAI ASITISHA UWAKILISHI WA MBUNGE MASELE BUNGE LA AFRIKA

Soma na hizi

Tupia Comments