Serikali nchini Uingereza imetangaza nia yake ya kupiga marufuku matumizi ya bidhaa za plastiki ikiwa ni pamoja na karatasi za unyevu (wet wipes).
Inaelezwa kuwa wipes hizo zimetengenezwa kwa plastiki zisizoyeyuka, hivyo watengenezaji itawabidi watengeneze wipes zisizo na pastiki au kutotengeneza kabisa.
Takwimu nchini humo zinaonesha kuwa 93% ya vyoo na mashimo yote ya maji taka vilivyoziba, zimezibwa na wipes hizo, jambo lililosababisha serikali kujikita katika kushawishi watu kuto-flush bidhaa hizo vyooni au kwenye mifumo yoyote ya maji.
UDART kuhusu tatizo la usafiri, Je wana mpango wa kuhama Jangwani?