Duniani

VIDEO: Ni kama siku yako haijafika tu, tazama hawa walivyoponea chupuchupu kwenye ajali

on

Kuna ajali zinatokea alafu unaambiwa kapona mtu unajua tu Mungu kamuokoa, sasa wenzetu majuu huwa na camera kwenye magari yao zinazorekodi mienendo barabarani na wametuonyesha matukio ya kukoswakoswa ambayo yote unaweza kuyatazama kwenye hii video hapa chini.

Tahadhari kwako maana ni video zinazotisha kidogo.

AJALI YA TRENI TANZANIA: Ilitokea Ruvu Pwani juzi… tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments