Top Stories

Mazoezi ya Kijeshi China “kata kona bila kutumia usukani” (+video)

on

Siku zote sisi tusio Wanajeshi huwa tunasikia mazoezi ya Kijeshi ni mazoezi ambayo kwa kiasi kikubwa sio ya kawaida na yanatumia akili, nguvu na ufanisi mkubwa ambapo leo kwenye REWIND tunaangalia mazoezi ya kijeshi ya China na Madereva wa Magari ya Jeshi kutakiwa kukata kona bila kutumia usukani, bonyeza play hapa chini kujionea

WEZI WALIVYOREKODIWA VIDEO BILA KUJUA WAKIIBA OFISINI DAR ES SALAAM, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

KUTANA NA KIJANA WA KITANZANIA ALIETENGENEZA GARI LINALOTUMIA UMEME, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments