AyoTV

VIDEO: Walichokizungumza CHADEMA kuhusu mbunge wa kilombero kufungwa miezi 6

on

January 11 2017 Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali alihukumiwa jela miezi 6 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero.

Leo 12 2017 mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amezungumza kuhusu mbunge huyo kuhukumiwa miezi sita, Bonyeza play hapa chini kusikiliza

‘Hatujaridhika na maamuzi ya mahakama’-Wakili wa Mbunge wa Kilombero, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments