Top Stories

CHADEMA Mara wafunguka Matiko na Bulaya kufukuzwa, wapanga kufunga na kusali (+video)

on

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Mara Lucas Ngoto amesema kuwa Mkoa wa Mara umeungana na mamuzi ya Kamati Kuu ya Taifa kuwafukuza wanachama 19 wakiwemo wawili wa Mkoa wa Mara ambao ni Esther Matiko na Ester Bulaya na kuwaagiza wanachama kuanza kufanya ibada za maombi kila asubuhi ili kilio kiwafikie viongozi hao walioasi.

“HUYU MTOENI ASIRUDI” MKURUGENZI ALIEMDHARAU WAZIRI MKUU ATUMBULIWA PAPO HAPO

Soma na hizi

Tupia Comments