AyoTV

VIDEO: CHADEMA waomba kumuona Rais Magufuli Ikulu..

on

Febr 3 2016 Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) lilikutana na Waandishi wa habari na kuweka wazi mikakati yao mipya baada ya Zuio la kuandamana lililotolewa na Jeshi la Polisi nchini. Nakukutanisha na Katibu mwenezi Edward Simbeye akitolea maelezo kwenye hii video.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments