Vituko/ Comedy

Mama huyu aliona breakfast iwe panya kwa mtoto wake…

on

IndiaKuna tamaduni nyingine hutumia nyama ya mbwa kama kitoweo na wakati mwingine huamini ina faida kubwa mwilini tofauti na nyama ambazo zimezoeleka kuliwa na binadamu.

Hii imetokea huko India baada ya mwanamke mmoja kumalazimisha mtoto wake kula nyama ya panya kama kitoweo cha asubuhi kwa madai watamsaidia kumpatia nguvu.

ratsMtoto huyo aitwaye Chen alizua majibizano kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka picha ya panya hao ambao alitengewa na mama yake huku mama huyo akumuhimiza kuhakikisha anamaliza kabla ya yeye kuondoka kwenda kazini.

Awali mtoto huyo alidhani hawakuwa panya bali sungura lakini alipokuja kuujua ukweli alikataa kula lakini mama yake aliendelea kumlazimisha.

Alimsisitiza kuwa panya mmoja ana uwezo wa kumpatia  vitamini mwilini sawa na kula kuku watatu.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments