Michezo

Chama amkwaza Mo Dewji, amjia juu “Manara ndio anakulipa”

on

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, MO Dewji ameshindwa kujizuia baada ya kuona Cloutous Chama anamsifia Manara.

Ayo TV imekusogezea yale yote yaliyosemwa na Mo Dewji wakati mchezaji wa Simba SC aitwae Chama alipoingia insta live kupitia mtandao wake kuzungumza, bonyeza play hapa ufahamu mwanzo mwisho.

MANARA: CAPTAIN BOCCO JANA NILIWAPISHA WASEME “ULIPOBEZWA”

 

Tupia Comments