Michezo

Chama amuomba radhi Feisal

on

Mchezaji wa Simba SC Clotous Chama amemuomba radhi mchezaji wa Yanga SC Feisal Salum kwa kumchezea rafu ya makusudi ambayo ingeweza kumtia jeraha kubwa katika mchezo wa derby jana.

Chama amekiri kitendo hicho hakikuwa cha kiungwana Simba ikipoteza 1-0.

“Nina huzuni tumepoteza lakini nataka niwahakikishie kwamba kilichotokea kati yangu na Feisal kilikuwa ni binafsi walasio kwa shinikizo la matokeo ya derby, binafsi nimeongea na Feisal na amekubali msamaha wangu”>>> Chama

Soma na hizi

Tupia Comments