Michezo

Chama arejea wekundu Msimbazi, Simba SC wamuandikia haya

on

Club ya Simba imetangaza kurejea tena kikosini kwa Kiungo Mshambuliaji kutoka Zambia Clatous Chama akitokea RS Berkane ya Morocco alikokwenda huko miezi mitano iliyopita.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia yale usiyoyajua kuhusu Chama na mengineyo.

MWIJAKU ATAKA KUMRITHI NDUGAI, AFUNGUKA “NIKO TAYARI KUMSAIDIA MAMA, UTANI PEMBENI,SIWEZI KUSHINDWA”

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments