Ebwanaaa eheh! Ule mchongo wa Uefa Cahampions League umedondoka tena leo na umeanguikia siku fresh kabisa ya Valentine. M-Bet nyumba ya mabingwa wamekuwekea odds bomba za leo ukitusua ukavinjari na uwapendao.
UCL itakipiga kwa siku mbili yaaani leo na kesho na kumbuka pia hii ni hatua yan16 bora kuelekea safari ya fainali.
Hebu cheki kwanza tips za game za leo kabal haujatia mpunga wako M-Bet nyumba ya mabingwa kwani ukiliwa umejitakia.
AC Milan vs. Tottenham Hotspur
Huu utakuwa ni mchezo wa tano wa kiushindani kati ya AC Milan na Tottenham Hotspur, huku Waingereza wakiwa hawajapoteza kwa kila mechi kati ya mechi nne zilizopita. Tabiri game hili utusue na M-Bet.
Spurs wamecheza huko Giuseppe Meazza mara tatu zilizopita kwenye UEFA Champions League, na ushindi wao mmoja ulikuja dhidi ya AC Milan (vipigo viwili dhidi ya Internazionale).
Kwa data hizi mapema sana katie mpunga wako M-Bet maana mshindi ushamjua au unaonaje?
Game nyingine kali ndani ya M-Bet kwenye ligi ya mabingwa leo ni Paris Saint-Germain vs. Bayern Munich
Paris Saint-Germain wamekutana na Bayern Munich mara 11 zilizopita, huku zote zikitoka kwenye UEFA Champions League. Timu hizo zimetenganishwa na ushindi mmoja pekee (sita kwa PSG na tano kwa Bayern), huku pande zote zikiwa zimefunga idadi sawa ya mabao (15 kila moja).
Mchongo mwingine wa UCL uko Jumatano Club Brugge vs Benfica Lisbon, Borussia Dortmund vs Chelsea FC. ODDS bomba ziko M-Bet usisahau hilo.