Top Stories

‘Chanjo ya Corona ipo Tanzania anaetaka akachanjwe’- PM Majaliwa

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema chanjo ya Covid-19 (Corona) tayari ipo nchini hivyo anayetaka kuchanjwa ruhusa kwenda kupata chanjo hiyo ili apate kinga na zimsaidie kusafiri kwenda kwenye Mataifa ambayo yanataka wanaokwenda wawe wamechanja.

Majaliwa ametoa kauli hiyo leo kwenye Baraza la Eid lililofanyika kwenye Msikiti wa Mtoro Mkoani Dar es salaam.

 

CHADEMA YASEMA MBOWE HAJULIKANI ALIPO, YATOA MAAGIZO MAZITO “MTAFUTENI, VUGUVUGU LA KATIBA PALEPALE”

 

Tupia Comments