Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Chanzo cha kifo cha Isaac Gamba akiwa Ujerumani chatajwa

on

Mwili wa mtangazaji maarufu aliyekuwa anafanyia kazi Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani (DW) marehemu Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa leo October 29 2018 kwenye viwanja vya Hospitali ya Jeshi Lugalo. 

Kwenye ibada hiyo wakati Regina Mwalekwa akisoma Historia fupi ya Marehemu Isaac Nyagabona Muyenjwa Gamba ameeeleza kuwa marehemu hakuwahi kuuguwa ugonjwa wowote wa kuaminika zaidi ya kukutwa akiwa amefariki chumbani kwake october 18 2018 siku ya Alhamisi  na baada ya uchunguzi wa hospital Ujerumani, imegundulika kuwa kilicho sababisha kifo chake ni kuvuja kwa damu kwenye ubongo (Brain Hemorrhage) yaani Presha ya Damu. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

HISTORIA: Isaac Muyenjwa Gamba ajaacha Mke wala Mtoto, Bonyeza play hapa chini kutazama

LIVE: Ibada ya kuaga mwili wa Mtangazaji Isaac Gamba Hospitali ya Lugalo DSM, Bonyeza play hapa chini kutazama

Tupia Comments