Top Stories

Chanzo cha Mzee na Familia yake kubomolewa nyumba, kupigwa na mapanga (+video)

on

Wazee wawili ambao ni Mke na Mume, wakazi wa Kijiji cha Kibuye Kata ya Bukuba katika Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, wamenusurika kifo baada ya kuvamiwa usiku wakiwa wamelala katika nyumba yao na kupigwa na kuumizwa vibaya, kisha nyumba yao kubomolewa.

“TUMA HELA BABA YAKO AMEFARIKI, TUNUNUE SANDA” RAIS MAGUFULI

Soma na hizi

Tupia Comments