Stori Kubwa

Dec 23 Waziri wa Nchi kachukua haya maamuzi…(+Video)

on

Leo Dec 23 2015 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI George B. Simbachawene amemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo.

Hapa chini kuna Video ya Waziri akielezea sababu za kuchukua hatua hiyo, Bonyeza Play

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments