Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: #AyoTV Mwanamuziki Khaleed Chokoraa hakutania kumbe, kapigana kweli… tazama hapa
Share
Notification Show More
Latest News
Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
August 8, 2022
International Marathon yaacha historia Zanzibar
August 7, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > #AyoTV Mwanamuziki Khaleed Chokoraa hakutania kumbe, kapigana kweli… tazama hapa
AyoTVHabari za MastaaSportsStori Kubwa

#AyoTV Mwanamuziki Khaleed Chokoraa hakutania kumbe, kapigana kweli… tazama hapa

May 26, 2014
Share
1 Min Read
SHARE

Screen Shot 2014-05-26 at 3.41.38 AMMay 23 2014 mwanamuziki kutoka kundi la muziki wa dance Tanzania Mapacha Watatu Khaleed Chokoraa ambae ni mshindi wa tuzo za KTMA pia, alitangaza rasmi kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM kwamba pamoja na kufanya muziki, sasa ni ramsi kwamba kazi yake nyingine mpya itakua ni ngumi za kulipwa ulingoni.

Kwa karibu miaka 7 anasema amekua akifanya mazoezi kujiweka sawa kimwili na kujiandaa kuwa bondia manake alikua anaona ndoto hii lazima itimie.

Kweli imetimia May 24 2014 ambapo alipambana na bondia kutoka Tanga (96.0 CloudsFM) Abdul Manyenza ambae alipigwa na Chokora kwenye round ya kwanza tu na hivyo msanii huyu kuvunja rekodi aliyoitangaza AMPLIFAYANI kabla kwamba anataka kupiga mtu kwenye round za kwanzakwanza tu.

AyoTV ambayo sasa inapatikana kwenye twitter kwa jina la @AyoTV inakuletea dakika 4 za pambano lenyewe lilivyokua mpaka Khaleed akatangazwa mshindi kwenye ukumbi wa friends corner Manzese Dar es salaam.

Unapenda stori kama hizi zisikupite? niko tayari kukutumia wakati wowote mtu wangu, jiunge na mimi kwa kubonyeza >>> Twitter Instagram facebook na kupata pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia.

You Might Also Like

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

Tanzania ya 3 kutumia Audiomack, wasanii changamkieni

Haji Manara amtambulisha Aziz Ki kama Mfalme, ambusu magoti, amfunga viatu

Millard Ayo May 26, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article #AyoTV sekunde za kipisi cha video mpya ya Jux aliyofanya China ‘nitasubiri’ @JuxVuitton
Next Article Magazeti ya leo Jumatatu May 26 2014
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
Mix August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
Top Stories August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
Mix August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
Magazeti August 8, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 7, 2022

August 7, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 6, 2022

August 6, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 5, 2022

August 5, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 4, 2022

August 4, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?