AyoTV

VIDEO: Wabunge wa CHADEMA wahojiwa na polisi kwa saa tatu Arusha

on

Wabunge wawili akiwemo mbunge wa viti maalum Karatu,  Cesilia Pareso, Mbunge wa karatu William Qambalo, Mwenyekiti wa halmashauri pamoja na diwani wa kata ya Nganako wote CHADEMA wamehojiwa na jeshi la polisi Arusha kwa kufanya mikutano bila kufuata utaratibu na kutokuwa na kibali. Mbunge wa viti maalumu Karatu amesema, Cesilia Pareso amesema……..

>>>’Tumehojiwa ni kwanini tumefanya mikutano katika maeneo yetu, tulikuwa tunafanya mikutano ya hadhara ya kuhamasisha wananchi katika masuala ya maendeleo, mikutano hiyo tumeifanya siku takribani 14, cha kushangaza huu mkutano tulioufanya  tarehe 23 ndio ambao tunaambiwa tumeufanya bila kufuata kibali

ULIKOSA HII YA CHADEMA WALIYOKUJA NAYO BAADA YA KUKAA SIKU 2 MFULULIZO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments