Mix

Majibu ya Sober House’ Baada ya Taarifa za Chid Benz kutoroka kituoni hapo kusambaa

on

March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale alimpeleka  msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz  Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre kwaajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa kulevywa na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo.

Headline za kutoroka kwa msanii huyo kwenye nyumba hiyo ya kuhudumia waathirika wa dawa za kulevya zilianza baada ya watu kumuona msanii huyo akiwa mtaani June 5 2016 Mkuu wa Kituu hicho cha Sober House ameelezea ukweli wa msanii Chid Benz kwenye kituo hicho.bagamoyo

Mkuu wakituo hicho cha kusaidia watu walioathirika na matumi ya dawa za kulevywa Al-Kareem Bhanji amekanusha taarifa hizo na kusema kuwa Chid Benz ameruhusiwaa kutoka baada ya afya yake kuimalika.

ukweli ni kwamba chid benzi hakutoloka kituoni alitoka kwa kufuata taratibu zote na baraka za uongozi baada ya kuoekana yupo sawa kwa mant’iki hiyo naomba vyombo vya habari mpuuze taarifa za kuwa alitoroka kituoni’>>>Al-Kareem Bhanji .

Kuhusu Babu tale kumtelekeza Chid Benz kituoni taarifa hizo siza kweli kwani babutale ndio aliyemfuata chid kituoni siku ameruhusiwa na alikuwa anatoa ushurikiano wakati wowote pale atakama ni usiku manane.

 


ULIIKOSA HII YA BABU TALE ALIPOMPELEKA CHID BENZ REHAB BAGAMOYO

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments