Habari za Mastaa

Chege kawatungia wimbo, Diamond, Alikiba, Harmonize wapatane kafunguka haya

on

NI Headlines za mkali kutokea Bongo Flevani Chege ambae time hii amefanunua wimbo wake mpya uitwao Burudani ambapo katika mashairi yake amesikika akiimba huku akiwataka wasanii wenzake akiwemo Harmonize, Alikiba, Diamond kumaliza tofauti zao na kusongesha muziki wa Bongo Flevani

Staa huyo akizungumza mbele ya waandishi wa habari alisema…’Wakati naandika wimbo wa Burudani najua ni kitu ambacho hakiwezekani lakini mawazo yangu yalisimama na kukumbusha watu kupendana hakuna kitu kizuri kama ukiwa unaongea ukiwa bado upo hai kwahiyo wimbo wangu wa burudani ulikuwa na lengo la wasanii wenzangu kwamba tunatakiwa tuwe na mipaka ya kibinadamu na mipaka ya kimuziki’-Chege

TAZAMA MKUBWA FELLA ALIVYOPIGIWA SIMU MBELE YA WAANDISHI HABARI KUELEZA BIFU LA CHEGE NA TMK

 

Soma na hizi

Tupia Comments