Habari za Mastaa

Chege na Ommy Dimpoz wametuletea Show time isikilize hapa (audio+)

on

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Chege ambae time hii ametuletea wimbo mpya Show Time aliyomshirikisha msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz unaweza ukaisikiliza hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichowaandikia.

RISASI ZARINDIMA KINONDONI, POLISI NA MAJAMBAZI “ASKARI KAMUUA”

 

Tupia Comments