Habari za Mastaa

Uliisubiria single mpya ya Chege na Diamond? nimekuwekea hapa tayari

on

Hii  ni mpya kutoka kwa staa wa bongofleva kutokea TMK Wanaume family Chege Chigunda ambae leo August 3 2016 ametuletea hii single mpya aliyomshirikisha Diamond PLatnumz inaitwa ‘waache waowanena ukishamaliza kuisikiliza usiache kutupia comment yako ili wajue watu wao wamewapokeaje.

ULIKOSA KUISIKILIZA AUDIO YA DIAMOND KUTAJA NGOMA ZAKE TANO ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA? UNAWEZA KUISIKILIZA NIMEKUEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments